Mtoto Monica akiimba katika TAMASHA LA WATOTO DODOMA 2017

Mtoto Nakizwa George akionesha kipaji cha uimbaji katika TAMASHA LA WATO...

Watoto wakiimba wimbo mkuu wa TAMASHA LA WATOTO DODOMA 2017 - "Nitavaa ...

Watoto kutoka Dodoma Kati SDA wakiingia- TAMASHA LA WATOTO DODOMA 2017

Baadhi ya Matukio katika Picha ya yaliyojiri katika "TAMASHA LA WATOTO DODOMA - August 6, 2017"

Picha ya Pamoja kwa Watoto na Mzee Kiongozi wa Kanisa la Dodoma Kati SDA (Wa kwanza kushoto katika Mstari wa Nyuma) na Baadhi ya Washiriki na Wazazi waliofika katika TAMASHA LA WATOTO DODOMA 2017
Watoto wa Dodoma Kati SDA wakifanya programu yao wakati wa TAMASHA LA WATOTO
Zawadi ya CHeti cha Ushiriki na Kitabu kwa Idara ya Watoto Dodoma Kati SDA
Watoto wakijiandaa kuingia katika ndani tayari kwa ufunguzi wa Tamasha
 
Picha ya Pamoja kwa Walimu na Watoto mara baada ya kurudi
Baadhi ya Watoto kutoka Kanisa la Doodma Kati SDA wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri katika TAMASHA LA WATOTO DODODMA 2017

Walimu wa Watoto Dodoma Kati SDA wakilisha keki watoto kama ishara ya kuwashukuru kwa ushiriki wao katika "TAMASHA LA WATOTO" lililoandaliwa na Idara ya Huduma za Watoto ECT - August 6,2017

Mama Ethan akiandaa Keki kwa ajili ya Watoto
Watoto wakiwa katika foleni tayari kwa zoezi la kula keki