Baadhi ya Picha za yaliyojiri katika Mapokezi ya Pr. William K. Bagambe (Mkurugenzi wa Uwakili ECD) yaliongozwa na Vyama vya Vijana wadogo wa PFC na AC, katika Ufunguzi wa Makambi 2017 Mtaa wa Dodoma, Jana Julai 23, 2017

Mnenaji Mkuu wa Makambi ya Mtaa wa Dodoma na Msimbazi Pr. William K. Bagambe akivishwa Skafu na Kijana wa chama cha PF kama Ishara ya kukaribishwa rasmi katika Makambi hayo.










No comments:

Post a Comment