Ni jumuiya ya kikristo inayowaanda watu wote kwa ajili ya kurudi kwa Yesu mara ya pili
Mkutano wa Umoja wa Watanzania Waadventista waishio Marekani (TAUS) umemalizika hivi karibuni ambapo watanzania hao wakichangia Dola za Kimarekani 12,000 sawa na Shilingii 27 Milioni za Tanzania kwa ajili ya miradi ya utume wa Injili nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment