Dodoma Kati SDA Church
Ni jumuiya ya kikristo inayowaanda watu wote kwa ajili ya kurudi kwa Yesu mara ya pili
Baadhi ya Picha za yaliyojiri katika Mapokezi ya Pr. William K. Bagambe (Mkurugenzi wa Uwakili ECD) yaliongozwa na Vyama vya Vijana wadogo wa PFC na AC, katika Ufunguzi wa Makambi 2017 Mtaa wa Dodoma, Jana Julai 23, 2017
Mnenaji Mkuu wa Makambi ya Mtaa wa Dodoma na Msimbazi
Pr. William K. Bagambe
akivishwa Skafu na Kijana wa chama cha PF kama Ishara ya kukaribishwa rasmi katika Makambi hayo.
Read more »
Uimbaji na Baadhi ya yaliyojiri katika MAKAMBI 2017 MTAA WA DODOMA, Jumamosi Julai 22, 2017
Read more »
Pr Manyasi Jr na Waimbaji wa Zebra Soul of GOD wakihuduma kwa Watoto, Jana Julai 23, 2017
Read more »
Karibu kwenye MAKAMBI DODOMA KATI SDA 2017 - Yenye Kauli Mbiu ya "Badili Mwelekeo" kutoka kwa Pr. William K. Bagambe kutoka East-Central Africa Division
MAKAMBI 2017 DODOMA CENTRAL SDA
Mkutano wa Umoja wa Watanzania Waadventista waishio Marekani (TAUS) umemalizika hivi karibuni ambapo watanzania hao wakichangia Dola za Kimarekani 12,000 sawa na Shilingii 27 Milioni za Tanzania kwa ajili ya miradi ya utume wa Injili nchini Tanzania
Chicago kuosha macho baada ya kazi
Mch. David Mmbaga akimbatiza Naomba Sekibojo, huko Wisconsi Marekani
Baadhi ya picha toka katika Ibada ya Sabato ya kufunga Mkutano wa Waadventista Walioko Marekani(TAUS) Columbus,Wisconsin Marekani ambapo Mch David Mmbaga alihutubu #TAUSretreat2017
Read more »
Angalia hili kanisa
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)